I wish people would be like Shiru wa Gp,shiru has been standing and supporting her sister no matter whether she's the first born without giving up or addressing her, lastly alimpeleka abroad. Anyway may God bless all first born
Carol,i know you are Joseph of your family,,may God give you the grace to overcome all the schemes of the enemy,,,but tafuta msichana wa kazi,usiogope peter atamchukua,, utakuwa ume save vitu mob,kama hiyo ya kusema kuleta your mom kwako,si poa,,
Kuna ile story ya kiambu,yule kijana that was posted by karangu (alikuwa mkorino) aliuliwa na shoka na brother yake,na alikuwa na issue ilikuwa tu wivu,,ati alianza kumwambia from kitambo juu ya kuwa hardworking
Wivu yenye iko na masisters acha tu😢😢😢😢😢😢
I wish people would be like Shiru wa Gp,shiru has been standing and supporting her sister no matter whether she's the first born without giving up or addressing her, lastly alimpeleka abroad. Anyway may God bless all first born
Nadhani hujui shiro vizuri huyo ni kitu mbaya
Sasa mambo ya shiro unaleta hapa ya nini?ama unataka watu waanze kuchangia
Unasaindia mwenye ako ready Sio mwenye akona wivu Na Wewe Kwa kufanikiwa.
Carol,i know you are Joseph of your family,,may God give you the grace to overcome all the schemes of the enemy,,,but tafuta msichana wa kazi,usiogope peter atamchukua,, utakuwa ume save vitu mob,kama hiyo ya kusema kuleta your mom kwako,si poa,,
Jealousy is real be careful Carol
Kuna ile story ya kiambu,yule kijana that was posted by karangu (alikuwa mkorino) aliuliwa na shoka na brother yake,na alikuwa na issue ilikuwa tu wivu,,ati alianza kumwambia from kitambo juu ya kuwa hardworking
Niko na siz yangu mdogo yeye husema niliiba nyota yake kaa careful huyo anaweza kuua ni mbari ya kaini
Mtu akibarikiwa wanasema wameibiwa nyota,ni wachawi 😂
Hiyo ni wivu ya uchawi i have a sister exactly like that
Ako na wivu niathii Akamie😅
Sasa wivu ya Nini na hawa pia ni Jina tuu hawana any. I think ni mgonjwa na anahitaji kipelekwa hosi.
These are tendancies of bipolar.
Pelekeni huyo sis yako hosi not funny at all😮...ako depressed
Huyo ako na wivu sana, jijunge xana, huyo ni shaitan
I experienced that last year
Wazazi wanafaa kuweka watoto wao wote karibu nawao bila kuchagua inaweza kuwa mashinda ingine hutokana na chuki kutoka kwao
True
Mehemehe mdomo bakuri😂😂😂😂
Huyo atakuja kukuua muhepe hiyo wivu imezidi
Very true hakuna kitu mbaya Kwa hii dunia kama wivu😢
This sounds like a scripted story.
Umekua kasupuu kairetu
Why mot take her to hospital? Very ignorant folks. Those were after effects of the alcohol and drugs.
Plus wivu....ukisikia MTU kila SAA Anasema uliiba Nyota yake ati yeye ndiye anafaa kuwa Kwa iyo position yako atakuuwa siku moja.
Huyo ni mchawi wivu
Kuna mambo
Wivu
😂😂😂😂😂😂😂
Njugagaa noogwituu tuciaranirwo na ngoma